Sunday, 2 August 2015

Community Shield Arsenal Vs Chelsea


Ni mechi ya ufunguzi wa pazia la ligi kuu la Uingereza inayoanza wiki ijayo linalowakutanisha watani wa jiji la London Arsenal vs Chelsea,

Kiwanja : Wembley

Muda: 1700 Afrika Mashariki

Vikosi vinavyotarajiwa kuanza:

Arsenal

Cech, Debuchy, Kos, Per,Nacho, Coq, Cazorla,Ozil Ramsey, Walcot, Giroud

Chelsea

Courtous, Ivanovich, Terry, Cahil, Azip, Matic, Fabregas,Oscar, Willian, Hazarad, Costa

Nini maoni yako nani atakaa leo???

No comments:

Post a Comment