Ni goli pekee lililofungwa dakika ya 24 na Chamberlain ndio lililopeleka kilio mitaa ya darajani Stamford bridge na kufuta uteja wa Wenger kwa Mourinho.
One nil to the Arsenal! ni nyimbo maarufu kwa mashabiki wa Arsenal na jana ndio ilichagiza jiji lote la London.
Kikwazo kikuu kwa upande wa Chelsea kilikuwa na kipa wao wa zamani Petr Cech, jana alicheza kwa umahiri mkubwa na kuleta utulivu katika beki ya Arsenal.
Mwisho wa mchezo jiji la London likabakia kuwa ni nyekundu..
COYG!!
No comments:
Post a Comment