Mechi za Leo
Everton vs Chelsea saa 2:45pm
Arsenal Vs Stoke City saa 5:00pm
Crystal palace vs Man city saa 5:00pm
Norwich city vs Bou saa 5:00pm
WAT vs Swansea city saa 5:00pm
WBA vs Southampton saa 5:00pm
muda ni wa Afrika mashariki
Manu Utd vs Liverpool
muda: saa 7:30pm
uwanja: Old Trafford
Manu utd wataingia leo katika mechi hii wakiwa na furaha baada ya mlinda wao tegemezi De Gea kukubali kuongeza mkataba mpya wa miaka minne.
Mechi ya leo inawakutanisha mahasimu wa muda mrefu katika ligi ya uingereza, itaanza saa moja na nusu kwa muda wa Afrika mashariki.
Mpambano mkali leo utakuwa kati ya beki Blind na mshambuliaji Benteke,,leo beki ya manu utd itakumbana na mtihani mkubwa wa kumzuia mshambuliaji hatari Benteke ambae anajulikana kwa umahiri wa kucheza mipira ya juu, kazi ya kumdhibiti leo anaweza kupewa Blind ambae ana tatizo la kucheza mipira ya juu,ni muda wa kusubiri kumuona jinsi atakavyoweza kumkaba Benteke ambae ana kasi na anacheza sana mipira ya vichwa.
Rooney; liverpool wanapaswa kuchunga sana Rooney leo akiwa na furaha ya kufikisha magoli 50 ya timu ya taifa
Benteke:ni hatari kwa mipira ya kichwa na ana kasi
Vikosi vinavyotarajiwa kuanza:
Man utd
DeGea
Damian,Smalling,Blind,Luke Shaw
Mata, Schwaeinsteiger , Scheinelein,Memphis
Herrera,
Rooney
Liverpool fc
Mignolet
Gomez, Skartel, Can, Ibe
Allen, Henderson, Lucas, Milner
Firminho, Benteke
No comments:
Post a Comment